| Somo la 1: |
Uumbaji: Mwenyezi Mungu anauumba ulimwengu (Surat Mwanzo 1:1-25) |
| Somo la 2: |
Uumbaji: Mwenyezi Mungu anawaumba wanadamu (Surat Mwanzo 2:4-9; 15-24) |
| Somo la 3: |
Anguko la wanadamu: Dhambi ya kwanza na adhabu yake (Surat Mwanzo 3:1-24) |
| Somo la 4: |
Anguko la wanadamu: Nuhu na Gharika Kuu (Surat Mwanzo 6:5-22; 7:1,10-11,17-20,23-24; 8:1,13,15-17,20-22; 9:1-17) |
| Somo la 5: |
Ukombozi: Ahadi ya Mwenyezi Mungu kwa Ibrahimu (Surat Mwanzo 12:1-8; 15:1-6) |
| Somo la 6: |
Ukombozi: Ibrahimu anamtoa sadaka mwanawe (Surat Mwanzo 22:1-19) |
| Somo la 7: |
Ukombozi: Miujiza ya Pasaka – Kuokolewa kwenye kifo kutokana na damu ya mwana-kondoo (Surat Kutoka 6:6-8; 12:1-3, 5-8, 11-14, 22-31) |
| Somo la 8: |
Ukombozi: Amri kumi za Mwenyezi Mungu (Surat Kutoka 20:1-21) |
| Somo la 9: |
Ukombozi: Sheria kuhusu sadaka ya dhambi (Surat Malawi 4:1-2,13-31) |
| Somo la 10: |
Ibada: Mwenyezi Mungu ni mchungaji wetu (Surat Zaburi 23:1-6) |
| Somo la 11: |
Unabii: Kuhusu mtumishi atakayejeruhiwa (Surat Isaya 53:1-12) |
| Somo la 12: |
Ukombozi: Miujiza ya kuzaliwa kwa Isa Al-Masihi (Surat Luka 1:26-38; 2:1-20) |
| Somo la 13: |
Ukombozi: Ushuhuda wa Yahya kuhusu Isa Al-Masihi (Surat Mathayo 3, Yohana 1:29-34) |
| Somo la 14: |
Ukombozi: Isa Al-Masihi anajaribiwa na shetani (Surat Mathayo 4:1-11) |
| Somo la 15: |
Ukombozi: Isa Al-Masihi anaituliza dhoruba (Surat Marko 4:35-41) |
| Somo la 16: |
Ukombozi: Isa Al-Masihi amponya mtu mwenye pepo (Surat Marko 5:1-20) |
| Somo la 17: |
Ukombozi: Isa Al-Masihi analisha watu elfu tano (Surat Yohana 6:1-37) |
| Somo la 18: |
Ukombozi: Isa Al-Masihi amponya mgonjwa na kumsamehe dhambi yake (Surat Luka 5:17-26) |
| Somo la 19: |
Ukombozi: Isa azungumza na mwanamke msamaria (Surat Yohana 4:1-26, 39-42) |
| Somo la 20: |
Ukombozi: Isa Al-Masihi anafundisha kuhusu ufalme wa Mungu kwa mifano (Surat Luka 10:25-37; 15:11-32) |
| Somo la 21: |
Ukombozi: Isa Al-Masihi anafundisha jinsi ya kusali (Surat Luka 18:9-14, Yohana 16:24) |
| Somo la 22: |
Ukombozi: Isa Al-Masihi anafundisha kuhusu kusaidia maskini, kuhusu maombi, na kufunga (Surat Mathayo 6:1-34) |
| Somo la 23: |
Ukombozi: Isa Al-Masihi anawafufua wafu (Surat Yohana 11:1-44) |
| Somo la 24: |
Ukombozi: Isa Al-Masihi anafundisha jinsi ya kuwa mnyenyekevu (Surat Mathayo 20:20-28) |
| Somo la 25: |
Ukombozi: Chakula cha mwisho cha Isa na wanafunzi wake na utabiri wa kifo chake (Surat Luka 18:31-34, Mathayo 26:26-30) |
| Somo la 26: |
Ukombozi: Isa Al-Masihi anasalitiwa na kuhukumiwa (Surat Yohana 18:1-14; 19-24, 28-40; 20:1-16) |
| Somo la 27: |
Ukombozi: Isa Al-Masihi anatoa maisha yake msalabani (Surat Luka 23:32-56) |
| Somo la 28: |
Ukombozi: Isa Al-Masihi afufuka (Surat Luka 24:1-35) |
| Somo la 29: |
Ukombozi: Isa Al-Masihi anajidhihirisha kwa wanafunzi wake baada ya kufufuka na kwenda peponi (Surat Luka 24:36-53) |
| Somo la 30: |
Muhtasari: Ungependa kuifuata njia ya Mwenyezi Mungu? (Surat Matendo ya Mitume 10:1-43, Yohana 3:16-21, Mathayo 7:13-14) |